Nyuzi za kuichafua Jf zimezid, wa Tz tuwe na shukran, uvumilivu na subra

صحيح على الاطلاق

Hapana! Rais wetu ndiye aliyeongea kwa kiswahili. Rais wa Zimbabwe yeye ndiye aliyeongea kwa kiingereza!

Aisee ni kweli kabisa, ila yaaani mmmmh! ndio hivyo tena kama ulivyosema hapo mkuu @Teflon_5

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D Ahsante Melo kutuunganisha huku, yaani zile siku chache ambazo tulikuwa hatuonani nilikonda. hahahahahaha. JF raha jamani tuache masihara

upuuusi tu

Melo atabakia JF legend; sidhani kama kuna mwana JF atabeza mchango wake.

Aisee, kumbe kuna watu walilaumu?
Binadamu ndivyo walivyo…inabidi tuchukulianae tu

Hahah!! Raha kweli yani mimi nikiingiaga jf najiona nipo sayari nyingine yani kama nachat na kubadirishana mawazo na malaika

Mkuu reyzzap una uhakika gani Melo hajabanwa na akaishia kutuanika kwa wasiojulikana? Hakuna anayemlaumu Melo; rudi kwenye JF tz ujaribu kupost labda sisi wengine ndio tuliomponza Melo hatuna previledge ya kupost cho chote.

Tatizo binadamu ni wabishi sana…

Cc: @Mahondaw

Hapa uko sahihi----؟ أبلغ عن خطأ أو اقترح تحسينًا. هل هناك شيء مهم ناقص؟ أبلغ عن خطأ أو اقترح تحسينًا.هل هناك شيء مهم ناقص؟ أبلغ عن خطأ أو اقترح تحسينًا.

Hahahah!! Mkuu utanivunja mbavu kwa kucheka. Aisee kumbe ndio ipo hivyo?