Office guys watu wa kuvaa tie na suti ndio tunaenda lunch

Upstairs rentals, chini bizna including donna shops. Nimeishi huku midget

Chokosh hio mkono yako imeparara kama magoti ya ngamia, tumianga mafuta saa zingine.

Panyaste, hio kibanda itauza hio doner yote na siku moja ama ni stock ya wiki?

Hizo mikono buda unatuangusha zipake mafuta, arimis sio tu ya msedes.

@Panyaste wewe ni pointie ama crossbreed?

Ni meffi mod mgani ame-edit comment yangu,muache umama

Neither of the two I believe…#toatint

Mkono kauka

@jokes on you he is trolling.

:D:D:D:D the comments banaaa

By the way how much is a standard meal huko; let’s say equivalent of chips+chicken+soda?

I am sorry…i don’t do sonford food.

mbona unafungiwa chakula kwa karatasi?

Juu yeye ni chokoste

msee hio ni take away. we office pple take our food tunakulia kwa offisi

hiyo mikono ni ya watu wa mjengo

Ungetoa hiyyo kabuti ya janitor kabla ujifanye white-collar.

ghasia

Iko wasito huko Germany na wametulia nani talkers