Sandi sana. Hizo ndio mawaidha nataka
Jalopy yangu imefika 300K…
[ATTACH=full]170310[/ATTACH]
Ulinununua ikiwa na ngapi?
Inherited ikiwa 125K, been in the family since 1988 ni zile za thika aka Local…
Bica ya sr20det ama ni hewa tu unaambilia jamaa
thank you
Hehehe…
Number 1.
[ATTACH=full]170383[/ATTACH]
Number 2 VVTI
[ATTACH=full]170384[/ATTACH]
From the look of it rim ilisonga lini mwisho.ama its a new project
Yaani @introvert unakuwanga na engine zote?.. Na hukuleta end product ya bike ya mtoi hio naona hapo
Tunamaliza leo…
Hii in mbeca ngapi?
No Sir.
Niaje? sr20det na gearbox naezapata na mangapi?