oliver Giroud

Kidogo kidogo tu uanze kunyesha halafu uanze kubadilisha rangi ya handle ukitafuta attention.

Hiyo TV ni fossil kweli

umbwa ngoja harry Kane awanyoroshe 3 nil , mujue ni punda ya swara wenger ame wauzia . umbwa tena

COYB tunalala kaa tumeshikania points na man united .

:D:D:D:D Enzi za onyatto na mzito JM Kariuki

Hii transfer imeniuma. The guy genuinely loved the club. But ni sawa tu. We wish him well…

Sitasema kitu…wacha game ichezwe. Sitaki aibu ndogo ndogo.

Game on

HT: 2-0

Mimi nilisema sitaongea…mimi najua game ngumu. Chelsea nao wamebwagwa na Bournemouth…:D:D

Watu wamejua hawajui. Kichapo cha bibi malaya

Conte hii season akimaliza ni bahati .

Hapo nayo Russian billionaire hachelewangi.