Ombi kwa moderators muyaache majukwaa wengine haturudi nyumbani

huku tumepazoea sana

Wazo zuri kabisa

Nimefurahi kukuona huku BT, karibu sana ukimbizini.

Usipate shida Download tapatalk. Utaikuta KT humo ndani Ni Poa tu kama Jf. Karibu sana Kenya Joh.