Ospina back to Arsenal

Mimi najua hayati is an Arabic word to mean “my life”. Swahili is mostly borrowed from Arabic.

Sifa ya dando manze hailetangi shangwe wala bidii ya kutembea huko. Sijawai pita past Koch…

Siku hizi security iko tight tuko na ofisi ya DCI. Kinoti huku ndio hukuja maficho saa anatafutwa na Githeri media.

Tafuta kamusi ya kiswahili sanifu, achana na kiarabu chenu…MBAAAFFF!!

Acha nifikirie hayo. Sitaki kujipata taabani nianze kujiuliza " sasa ni nini ilinifanya nikuje huku na ningekaa tu na watoto kwa nyumba" :D:D

Iko fiti halafu pia kuna AP camp. Hapo ndio parking ya futsubishi.

[ATTACH=full]239327[/ATTACH]

My only hope is Leno starts the Europa final juu Cech inakaa ni kama atarudi chelshit after he retires kwa hivyo akwende kabisa!

Anaitwa agent Cech. He is more loyal to chelsea than us.

Hope emery will bite that bullet and bench him coz you just know if he starts arsenal will lose!