Oyooo villegars wa tz

Hilo linalofanana na id yangu ni Makande kiTz

cc moneytalk

Safi

Stima?

Stima?

Umeme

Utasikia wakisema “tz wanajenga reli ya stima”. KE bhana!

í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸

Koinange ni mtaa /eneo ndani ya jiji LA Nairobi

Aisee mi kuna manzi hapa ilitaka kucam lakini ikataka 30 Bob. Nikaiuliza kwani iko na runinga kama matatu ya machakos?

Kikenya umeme wanauita stima

msalimie mejja nalikubali sana songi lake la landlord

Wanachoandika hawa ndugu zetu ni kiswahili ama lugha gani??

Naona ushaukwaa usenior villager

Kwa hii kiswahili ya Kenya, yaani unaweza jikuta unatukana hv hv… hahhahahahhahaha

Nataka niwe Sponsor Villager kabisa…

Cc: @Mahondaw

Hahahah

At least nifike fike mpaka Sponsor Villager… though bado ni mwanakijiji…

Cc: @Mahondaw

aiseee umetisha mwari

:oops::oops::oops::oops::oops::p:p:p:p:p