Pale unapodhani umewakomoa Watu kumbe ndiyo umejikomoa mwenyewe vilivyo!

Ngoja tuendelee kuitana kwanza ili kila mmoja akirusha la kwake limpate barabara

Popoma karibu sana.

Naiona JF mpya huku, ya watu wenye hasira.

Mkuu hujasahau mwandiko wako?

MNAWAHAMISHA NA WAO WAITENI VIJANA WA LUMUMBA WAJE ILI WAWEZE FIKISHA HABARI

yule pale juu…don mambo

Teknolojia inasonga mbele nasi inabidi twende nayo sambamba, hatuwezi kurudi kwenye ujima hata kama watatokea watu kujaribu kuzuia. Kweli Shkamoo Teknolojia…

Naomba umwambie akarogeroge pale TCRA…mamitambo yao irogeke kaabisa yaani…

Ila sasa kwa sisi ambao tunekuja ugenini nadhani sasa tumethibitisha udikteta wake kiuhalisia.waliokuwa nyuma yake sijui wamefurahishwa na hili.la jf kufungiwa?

[FONT=courier new]Waite tu Mkuu kwani hata Mimi mwenyewe kuna ’ Njemba ’ moja Rafiki yangu ndiye amenitambulisha hii Kenya Talk na nikaja huku vinginevyo tokea JF isitishe kutoa huduma Tanzania nilishaanza tabia yangu ya kushinda ’ Vibanda ’ vya Gongo na kuinywa kunakotukuka kwani hakuna starehe ambayo niliipenda kama Mtandao wangu ’ pendwa ’ wa JamiiForums.

Kule ’ Kilingeni ’ kwenye ’ Gongo ’ ndiyo hawanipati tena na sasa mambo yote ni Kenya Talk huku ndani yake JamiiForums yetu ikiwepo.[/FONT]

Poaaa, missed you sweetheart!

niliwamiss pia!
tumekuja ukimbizini kidogo!!

[FONT=courier new]Popoma Shangazi yako na Mjomba wako!

Yaani huku nadhani sasa ndiyo ’ watatukoma ’ hadi ’ wanune ’ kabisa.

Shikamoo Teknolojia![/FONT]

Mi ningeshauri mods wangejaribu kuanzisha jukwaa special la watanzania ili tusije vurugana na hawa jamaa wengine

sure

Halafu huku hakuna Ban, hata ile mitusi yako watu wanashusha tu Popoma.

[FONT=courier new]Umeongea jambo la mbolea / maana sana Mkuu na naomba kama Wahusika wapo humu basi walifanyie Kazi hili upesi sana tena bila kuchelewa ili hizi ’ hasira ’ zetu tulizonazo kwa ’ Mapopoma ’ fulani wanaotizamana na Hostels za Joint Expansion Ubungo zisipoe![/FONT]

Mbona lipo, kila jukwaa tayari mkuu

[FONT=courier new]Kama kweli huku hakuna BAN / UMEME nadhani GENTAMYCINE nimetua mahala salama na Kipele kimempata mkunaji.[/FONT]

Naendelea mkuu na hii operesheni fupi ya kuwahabarisha, hadi sasa nishawaleta watu kadhaa na nishapost kuhusu hizi habri kwenye mtandao mwingine wa kijamii ambao ni mkubwa zaidi Duniani na unaopendwa sana na Watu mashuhuri kama huyu wa kwetu aliyetufanya tuje huku ugenini

mhudumu ongeza gRAss