Parents and future parents kujeni hapa kidogo

like a Boss. hakuna kubembeleza kuma.

Three mirrion!! kwani ni gold mine.ka si uyo mzee ingefika 2.5

800k is still on the higher side. Shouldn’t go beyond 500k. Else, unaita @Meria Mata apeleke hizo 100goats physically na ile truck yake.

na ukiletewa mzee your age utafanya nini unachagua shimo na hujui ka utaletewa jiti

Lethal

But hizo za kuchaguliwa bibi huwa zinadumu sana ju wazazi walikuwa wanaangalia tabia na background yake.

Mligongwa

watu kaa weee sijui kaa mnaeza survive environment zingine…e.g. dealing with models as your career…kama unakula mboch…ni tricky

Tabia mbaya Unless you are planning to dryfry daughter in law, Achana na choice ya mtoto :smiley:

Nishawahi tumia masangu picha fulani nikiwa na group ya mamanzi alafu nikaona read. Hakubonga na mimi siku mbili juu hao madame walikuwa under par.

:D:D:D