Paternity test surprises...local stories

mbona watu wengi wanasema 6 weeks?ama hizo ni za kemri na madelays?

Wazee wa zamani wako na wild fruits everywhere

Only a mother knows the family tree

Very true

20K father and child

Shinda hapo

Kunguru hafugiki.

Hakuna madharau kubwa kama kutombewa bibi na kuweka mbegu ndani.

Infidelity ni ngumu sana kusahau. Lakini infidelita ambayo imekuletea mtoi who you will see every day for the rest of your life and you will struggle to feed na kulipa fees… ngumu sana!

@pamba,

Hizo mbegu mara mingi ni za jamaa alive na bibi na watoto wake. Tuseme tu wanawake hawana bahati na bado hawajifunza kukataa DF.