Peasant probrrrrrems

Ilibidi niuze hiyo shati bana…Siwes lala njaa na niko na shati. On the flip side mm pia ni birrionare sababu nilinunua shati na 1k albeit bila kutaka @mkiawakati96

6 Likes

:D:D:D:D

Kama wanyooshwa hivi mombasa, Nairobi utakufa.

2 Likes

Wajua kunyooshwa hata wale wasee hudai kuwa wajanja kuruka huoshwa !! Sasa sio story ya Nai, Msa au wapi brathe

Say hello to hunger :D:D

Fundi mwenyewe si hupata 1k a day sku izi. Watu wa mkono ndio io kidogo

UPUS

1 Like

Mjengo sio kama kukata fence ya mhindi mutiso @vuja de