Picture worth a thousand and one words ..

niliweka picha ya samaki the other day hapa ,si ulipiga nduru na shangwe na vigelegele. Next thing -ulitapika. You really hit below the mbeot just that i didn’t have the guts to say so :D:D:D

@Ile pikcha ya Ghana?..aiiiiiiii buana wacha nikonde.:D:D:D:D Cendro folk do not really know fish. Tumejifunza Tilapia, Salmon na kadhalika…sasa hiyo ulipost killed the beat kabisa. Hata Omena siwez mimi.

BORA UHAI. Say it again BORA UHAI

The problem is not germs but the chemical contamination, that is sewage and industrial waste. Cancer itatumaliza

:D:D una jokes . njoo unitembelee hapa langata road , ill serve you in bed a well cooked barracuda na mackerel , kando yake will be Shiito na Kinkey ( instead ya ugali) . badala ya wine we do gorogoro moja ya busaa to wash down our spicy delicacy . Then a merry night will follow . what do you think ?

ngombe ; bora uhai :D:D:D

Case closed… …Next

vagaboonian :smiley:

Apana…mackerel, bado sijafika hapo. Aiiiii no. Nipeleke tuu Kosewes. That is an extension of my ‘office’ in Kenya. Nikule that brown ugali, the greens and tosha gari. As for the merry night:D, fafanua na usikutiliwe…na some KTalkers.

:D:D:D

People drink this same water…Nothing new here… But hata kama…

Hizi ni chakula za Watu wa mtaani na maestates :smiley: