Place to stay in Nyeri

Ibis hotel. Food iko poa, ukitaka ikuss iko tu hapo nje, na pia Ni a short walking distance to club zero 19 ukitaka tei

Ibis Hotel iko sawa … :smiley:

[ATTACH=full]351888[/ATTACH]

Is there much of a difference pricewise between Sotik and Bomet kweli?

Kericho and Sotik price difference is huge

Try the Freemason lodge in Kingongo area

Hiyo ni ya Devil worshippers

Kula nyama hapo starbucks ukiangalia hotelo zingine bora zaidi

Ukitaka kuku mzuri uliza pahali Inaitwa to go is to see. Their chicken is legendary…

I will nikipitia huko tena. Kitambo kulikuwa na base inaitwa kungu maitu ilikuwa imeweza sana.

Kungu maitu is still operating

Hizo ngoko zinalipisha how much overnight?

No idea but si unajua bei Ni kuelewana