Police Brutality

Wacha ujinga. Una utoto kwa akili. Yaani wewe nugu unataka polisi waendelee kuumiza watu. Wewe ni shetani kabisa. Ibilisi mkubwa wewe

matusi ya nini? why can’t you argue like a grown up? police are there to enforce the curfew, it’s much better than a lockdown, you were clearly told these are extraordinary times, guys don’t listen, so you want cops to buy you roses to go home?.watcha walimwe, tena zaidi, sasa unleash matusi zote umejaza kwa hiyo kabati ya meno.

Sijui wanapatia nini huko kiganjo lakini hawana roho hawa watu.

Kenya sio nchi zingine banaa.

sasa mnaambiwa iko curfew mnaleta ushenzi… eish, thumbs up policemen…
rid kenya off this hoodrats who cant follow simple instructions…

Violence begets violence
Look at India
[ATTACH=full]294197[/ATTACH]

I don’t support violence but bonobos dont listen. I myself know these cops are assholes so siwezi risk kuwa nje by 7pm. So why should you

I knew there was no way lockdown was going to work in place like India and it won’t work here. Let Uhuru experiment it. He will forever regret it.

Do Kenyans know the meaning of curfew. It has no compromise. Anyone after 7pm is a criminal.

Wewe na werevu yako unakuja na virus kutoka huko umetembea unaenda kujificha kijijini ukiambukiza watu ukiwaambia vile uko kuna barabara za gorofa nane .unashindwa kufanya an easy thing isolate ndio mmeleta hii shida. sasa utalazimishwa ku isolate kama ni mbaya rudi huko ulitoroka huko nini in the first place?Kua nyumbani ama ulazimishwe kua nyumbani what is hard to comprehend?Ama A+ haitambui hio ujinga ya kuisolate?

I support the viboko

Norway

The Netherlands

Germany

Sweden

India

Kenya

Polisi waanze na wewe. Ukanyagwe mak*nde. Upigwe rungu ya kichwa. Utobolewe macho na teargass canister halafu umbwa ya polisi ipite na haga yako moja. Halafu hakuna mtu atakuja hosi kukutembelea. Ukae huko mpaka upate utu na ubinadamu na huruma kwa wananchi wa kawaida.

Serikali ilitoa hatua ya curfew, unapelekea kiherehere nje ya nini gizani?
Chapa chapa ujinga kila mtu ndaani kwa box

Viboko zitembee