POLITICAL SUICIDE

Uhuru will also still be president even without luo votes…

Where does he gain all this confidence from?

from partaking in akohooo

@kyuktothecore leo umeniangusha

Ni ukweli tu bro…hii hypocrisy ya mrengo wa nasa ndio hukera saa zingine. Juzi tu huyo jamaa wa vitendawili alisema “wageni wafurushwe” kutoka umasaaini, mkamtetea hapa sana ati hakuna kitu mbaya mumeona hapo. Leo ndio mnaona arrogance ya muthamaki? Hata wewe ungekuwa rais na unaletea watu maendeleo na bado wanaona tu ubaya wako, kutakuwa na haja kweli? Pelekea watu wako, hao wengine wabaki wakikauka, wapate sababu ya kukuchukia zaidi, ama namna gani ndugu @Eng’iti?

BTW when Uhunye starts talking that way, know that someone must have pissed him off.