Potus Na Pishori..Nkt

Hiyo story ni funny …hiyo ni kazi chafu ya kuosha walls …mzee mzima akiifanya

1 Like

One tiny whiny (?) bit…who keeps [SIZE=6][FONT=Times New Roman]THREE[/FONT][/SIZE] laptops in his house?

1 Like

Tukiwa klost niliweka story kama hio ya mchele alafu unawaachiwa pupu kwa nyumba kama Xmass present.

2 Likes

Me!!

Was having a shitty day but…shit is real

1 Like

[FONT=Courier New]Hehehe uliharibu evidence, ungepeleka hiyo mavi for dna analysis[/FONT].

7 Likes

Haha and shit goes down

[ATTACH]10455[/ATTACH]

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

could it be the same rice dispenser???

1 Like

Ha ha ha ha ha ha! Like seeking for attention using that muthongorima between your legs isn’t enough…you know what a muthongorima is, I hope?

(with a slightly light touch…)

Pepo Punda be like…
[ATTACH=full]10457[/ATTACH]

4 Likes

Leta hekaya boss, it could educate some of the horny fools kwa hii kijiji

inaonekana hiyo shitty pishori “haikukupeleka vizuri”; what is a bevy ama ulikuwa ukiona huyo lakeside quail wakiwa wengi?

ION ama wife aliwacha muti huko ufundishwe funzo ukijaribu kupunguza ma-blue?

Kuna boyz wangu alitoka tao kulewa, ikafika around 5am akaona aingie local mtaani, akaona msupa amekaa kwa sina tabu solo, fisi mode activated, akafunga mambo. Unluckily, msupa alikua anadrive, so wakazidi mpaka kwa nyumba wamefwatana. Kuingia kejani, msupa akatoa delmonte ati boyz apige sip taste ya beer itoke mdomo. Hapo ndio alikua anakumbuka pekee. Aliamka akadhani ametembelewa na mapepo. Niccur did all he could, mpaka kulipa mabouncer just in case apatikane around, nothing. Ilibidi ahame.
I came to know, manzi ako club around 4 to 6am na bado hajafungwa huyo ata usiwahi mwangalia mara mbili, potea na usiangalie nyuma.

Yeah. And if you must, make sure you finish your bizna in a lodge within one hour na kila mtu aende njia yake.

ubaya saa hizo ndiyo mtu huwa amemaliza common sense na logic zote…

2 Likes

easier said than done, hapo pombe na nyege zake ndio kusema

:D:D:D:D
This is just soo stupid, he he, halafu ukaosha Mavi? No way, mimi nahama hiyo nyumba the same day.

Install cctv/hiden cameras around your house.

Kwa house plant, coat hanger…

I have laughed, but, pole Pepo…

Had a near escapade, where ufisi mode struck like 1wk ago, tukaongea poa en agreed. But i had a back up plan, nilikuwa zile za kumupima akili. Kufika kwa gate ya keja, had earlier on told the watchie asiwai nifungulia gate kama nimebeba quail. Kumshow nimejam, kumuachia all i had kwa pocket, apart from 2k yakushikilia steam. Thanks villagers coz i listened to u. Kuokota na kupeleka kwako is a no go zone.