prediction kings tuesday games

iyo ni kama kubebe poko then ukifika kejani unkumbuja poko amedinywa na jamaa ako na josto kubwa…kamua iyo lanye hadi mkia gambler ni confident

leo games zote nimeweka 15k kaa mbaya mbaya

1 Like

Kuna game nilimiss saa saba… Tokyo vs kateam kalikuwa kamepewa 98… Wanted to put kawin firsthalf…then tokyo full 3mins niki9ngea nasimu kapata game imeshaanza…could have won 13k na jst 150bob

1 Like

Mine, aston vs everton 1,2,or away to score, bournemoth, 1x,leicester u3.5, norwich, 1,2,sunderland 1x

lza jo…

hii game Sandhausen vs Nuernberg
wish nigeweka pesa mingi niliweka pesa ya umama na prediction was right …:frowning:

manze muti betting sio poa…sasa 5k sitapataa juu ya union berlin :frowning: lemmie stick to single bets…hii ni upuzi @123tokambio sina bahati leo

Sasa kama ungestick na zile nilikuwa nimeku-tickia haungeumia. :D:D:D:D Though hata mimi Chemnitzer ya 3 Liga iliniangusha, na kama venye msemo huenda, ‘manze ningekuwa na mulla ispokuwa hako kamoja tu…’

hii betting nikama kudinya lanye mtu husema uyu ni wa mwisho kujivako tu :smiley: :smiley: : D