Pregnant with Lilian

:smiley: not that back. Just the 1990s where pregnancy was a quiet affair. These socialites wanazaa mtoto mmoja lakini unaweza fkiri ni the return of son of man. Facebook na Instagram imehariibu mambo

hio social media tax ya m7 ikuje thru watu waache kuleta idleness paree interwebs

mannequin inawesa pata mimba?

Si bado akizaa atahara tuu kwa maternity ward kama wengine

who’s that bish in the mbisha?

owes

now that hii tread nibya umama…reminds me of a very slimshady fulan niliona leo na ball,it looked so out of place,as if imechomelewa kwa hio body,mwenye aliweka hio ball hakumruhumia?

This is fucking cold. Ni ile mtu husema Zero chills. Lakini kumwaga kwa uterus ndio sijajua inaingilia wapi. Sperm and egg don’t meet there, do they?

si zinameet huko kwa fallopian tubes.