@purr_27 and other pink handles

wacha nijaribu. kwangura naambiwa wasomi mwasema gwara. vipeke ni vile vidude vyakufinikia soda au bia. kwato nazo ni ‘hufu’ a ‘huvuzi’ kwa wingi lugha ya kiingereza. Tandu ni Sentipedi yule kama jongoo. Maganyakulo ni kwehu mdzinyi.

Ndio umenipoteza kabisa kaka braza

Kama na zile caterpillar type just avoid kujigwaruza.they will disapear paka mafuta ya kutosha kwa sehemu iliyo athirika.and do some weight trainning

jane_doe ameanza kuwa fimbo sasa