Ya kipara
Ngoja miaka ingine kumi then oa
What do you mean kuoa? Methinks kuoa ni step moja crucial kwa life yenye uwezi compare na situation ya mwenzako
unakaa na mtu 5 years ndio umjue? 2 years max, otherwise ni time unajipotezea
Usidandanywe na mtu, three months are enough ukipatana na the right one. Mannerism, sura na nyap unakaa 2 years ukichunguza nini?