RAHA TUPU

Ahahahaha

1 Like

He he

2 Likes

Alikuwa hatar Yule mtu sisahu alivyoalika wadau kwenye houseparty kule sinza mzee dah ngoja niishie hapa Ila Nancy atabaki kuwa Nancy tu

1 Like

Nancy kaz ilimshinda mteremko wa jk
Ulishaisha

2 Likes

Ze utamu utamu ndo ilikua funga kaz
Bana mpaka ikafungwa haikua na mpinzan

1 Like

Nini shemu…

1 Like

Nimefurahi tu mm jamani

1 Like

Sawa shemu…

Ni muhimu kuchunga mzigo wako

2 Likes

Hahahhaha kweli shem

1 Like

Umeona ee

1 Like

Blogu pendwa siku hizi imekua gofu.

1 Like

Badilisha rangi ya handle yako kama kweli wewe ni dem, inachanganya mara nyingi na huenda ukaeleweka vibaya

2 Likes

Iko hewani, tayari nasafisha macho huko

1 Like

Hivi yupoje mkuu.?.mimi nilikuwa nadhani ni mvulana tu anayetumia jina la kike

1 Like

She is very beautiful woman na ni hustler,ni msomi pia wa degree za ndani na nje ya nchi anajielewa sana zaidi udhaniavyo
Ukikutana nae huwezi amini ndie Nancy wa Rahatupu
But this time nadhani yupo busy na kiwanda chake cha usindikaji dats why kaiacha ile blog

2 Likes

Nimekusoma mkuu…

3 Likes

Bila

Shaka atakuepo kwenye izi social ntwrk embu tujuze username anazo tumia IG,Fb ama twitter tu mzoom

1 Like

insta anatumia Da_Beautiful_Ones

2 Likes

nilishakutana nae ile baa ya pale sinza inaitwa igo nadhani kama nitakua sijakosea

1 Like

nikupe namba yake…ile baa ya pale sinza inaitwaje aliyokua anapenda sana kukutana na wadau wake special

1 Like