Raila tells supporters to stop looting or destroying public property

Seriously papa

Fresh water mains gani? Hii?
[ATTACH=full]131066[/ATTACH]

mwalimu acha za ovyo:D:D:D:D:Dsi at least munge-target ile Masinga-Kitui pipeline ile mama mmoja aliambia Col. Kiluta itapita meeni maake wakati alisema haitapita constituency yake.

:D:D:D:Ddoesn’t matter. when you live with a people you become part of them and share in their problems. nasema kuna mains mingi ukambani kama ni mains watu walikuwa wanatafuta za kuharibu. pia kuna Nol Turesh kutoka Kilimanjaro.