Raining Cats and Dogs....

Exactly!!Hapo ni balaa usiku,hata ukiwa na nduthi kunyongwa ni dakika

Ngai wa muoyo…hehehe…my hacienda touches mugamba ciura…ka slay queen kanaitwaje …

One of my mum’s ni wa hapo kiadege…karibu kwa Gichimuni

Ebu nijitoe pole pole ama mtaniexpose brary ulumini wa Michinda primary na Waka junior.

Sasa hata karibia nikujue kijana ya Michida primary.Mlienda kuswim hio dam iko opposite quarry?

Nilijua tu jina moja.Wanjiku

Wanjiku waù

Mwangi

Nyinyi watu hapa juu.Si muende inbox mkamalize hio mambo yenu.

Ati leshau pondo,kwani wewe ni jirani yangu.

When people from the same village meet…

ngirigaca ama kwa ngara. ngotea watu wa gathaji hata kama waliniweka tumande aka miguu sita

I have for the longest time thought nyakariang’a is just a kikuyu diss kumbe it’s a place?

actually ni area ya suera…

nilisomea hapo Gatimu primary, kuna watu wetu wengi sana hapo area hiyo.

ui

he he he…niko gatimu…karibu na proposed site for ol jororok university, karibu tabor hill

Hehe we wi msub-county… Nindathiii