Ranch

hahaha…na jebel dry

1 Like

@Wakanyama kumbe unapenda telenovela?

MIMI SISEMI MEXICO NASEMA NEW MEXICO LAKINI NYINYI HAMUWEZI ELEWA HII MAMBO

Si hizi ni zile story za fangi mlikuwa mnapiga hapa?

uongeze wankerden hapo pia.

1 Like

Niliclick mbio mbio nikidhani umesema lunch

1 Like

@Luther12,please google it for me

Unataka kupractice large scale animal husbandry?

@Wakanyama hizo ni Bisen sio ng’ombe za kawaida zinakaa hivi (nime google)

[ATTACH=full]6776[/ATTACH]

Ukijaribu Animal husbandry ya Nyeri huko utamalizwo unaona hiyo kichwa

@Ice_Cube ,ziko sawa juu nataka kuitwo wamanyama sio wakanyama tena