Reaction after Kunyimwa

hehehehe hiyo ni blackmail na Kidnap lakini kama it works ni sawa

hehe, unajua madame hufanya kazi na waiter! Wewe itissha pombe mingi nikunywe kumbe waiter anarudishiwa hio pombe at Half Price. Or, even worse the lady is giving the waiter the beer wewe unanunua ndio pesa tugawanye na waiter.

MALAYA!!!

MALAYA!!!

Rori razima irare kwa parking

Hapo sawa tikteta. Lakini hii yako ni extreme.

ahsande omwami but hawa watu wameumiza ndugu zetu wengi sanaa tukipata chance lazima tu revengie hao ndugu zetu , utapata saa hii dem amekunywa thao nne ya boy wetu akamuacha bila kunusa hata panty .

Tulikuwa na boy wangu hapo Harrys a while back akachokoza tudem tuwili hapo. Vile aliwauliza watakunywa nini, wakasema wanataka chupa mzima ya njemson, jamaa akawaambia waende wakikauka.

So.what was the point of going out with a nigger in the first place?the money ama cz thats how cold digger are born.tutabia twa kijinga kaa huto.
y not tell the nigger that nimetosheka na av had my limit?
its such like behaviours that make ninjas act the uwesmek way.u take my money n i demand slices at any means neccessary.
kujiheshimu kwa mwanamke is a better turn on than being ratchet

:D:D:D

hehehehe Harrys inakuwanga kwa wazito hapo nikiingia nakuja kukutana na wale unaskianga wanaitwa Cartel hapo najua cut yangu si less than one million , Anglo leasing ilianzia hapo na wacha nikuambie nilikuwa ikianza . hapo kuna Cartel member alituitishia mimi na boyz wangu wawili Jameson 5 , 1 litre , na ni kwa sababu tu ya kupitisha kitu kwa system . kila mtu alichukua yake akaweka kwa gari ndio tukaanzia hizo mbili .

:D:D:DUyu nunulia chrome(peasants panty remover)unaskianga amewhisper kwa maskio"bae twende home"

:D:D:D:D

https://www.youtube.com/watch?v=tHioEC9itTg

Siongezi zaidi ya hayo.

Suruali itolewe at all costs, no need mtu kwenda akikusengenya na wenzake ati fala fulani. Heri wakuite mmbaya. Kuna jamaa ashawai nunulia mwoman shots za tequila amounting close to 8k, kufika kitu 2am msee akadai waishie. Saa hyo tei umebuy ishapanda kwa system ako devil daring. aka uliza jamaa aende wapi na bado hajalewa. Msee akadai kwa nyumba juu ni kama mfuko iko on low battery mode. Bitch akauliza mbona ulinileta out ka huna doo ya kutosha? Me ndo nlikuambia unilete? ilibidi msee ajitoe ka amekunja mkia.

Utapata magwiji utashangaa vile utatokwa. Kuna moja nshawai ona jamaa aliagizwa punany hadi akapewa mate, masaa ya kutoka ilipofika dem akawachia waiter wa counter kibeti ati anaenda washroom ka ame enda. hapo utangoja hadi ukauke

I don’t get it. A man buys drinks, food and expects sex.
When a woman expects a man to do something for her before she gives in, she is a whore. Why shouldn’t men be viewed as wallets when you walk around proving that if you spend on a woman you are owed sex?

Wewe mama wacha kujifanya holy joe na am sure in ur life umepatiana coomer for gifts na sijasema pesa

hawapeangi mtu hana kakitu coomer ni ngumu sana wawache kujifanya holy joe hapa

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D