Relocating to +1(587)

I had to investigate the number you have given
[ATTACH=full]127210[/ATTACH]

1 Like

Boss nilikutumia jamaa and a chic. They dont know niko ii kijiji so sikuwapa story mob

Don’t use your pension out there. Pemsion is to be invested in 254.

1 Like

:D:D:D:D ndio maana anawaambia anangoja simu.

Nitakosa aje?

Huyu bibi amekamuliwa tayari.

Kuna MTU atakamuliwa mkiha

:D:D:D, @Doltress uko na ufala sana , you idler.

[ATTACH=full]127215[/ATTACH]
Hapo my frens ndio nimetoa hiyo number

1 Like

Big deal!

Una miaka ngapi na unaenda kusoma miaka ngapi?.. Trust me on one thing, utamiss Kenya ile mbaya. Itafika mahali uone apana, kwanza kama huna family huko. Strategy ni kuhustle overtime au double shift na kusave. Wale watu unaonaga wakikaa huko forever ni juu ya kuishi hand to mouth, hawaingizii pesa mob na mabills, na credit card zinawakimbiza.

2 Likes

Umewahi enda huko ama uko huko?

Jibu maswali kwanza. Nimewai ishi Trumpistan.

30ish, kusoma 3 years

Best of wishes and all the best in your new adopted country

Of course. I learnt that through a brother(May he RIP) who was deported from US, mikono tupu, alikuwa anasema alikuwa na kido $250K kwa account, zikakunywa maji hivo. Investment zote ni motherland

Na iyo course/degree unasoma ni ya miaka ngapi? 30ish inataka ukuwe umejipanga kabisa juu huna time ya kuexperiment. That means make sure iyo program unasomea ikona job market poa, usigraduate ukose job uamue kurudi chuo kusomea kitu ingine, saa hiyo unaenda kugonga miaka fote. Alafu ni poa uende jiji ina wakenya wengi au immigrants wengine ndio uchanuliwe haraka. Alafu jitayarishe kuambiwa experience yako na degree zako za kenya hazitambuliki huko, atleast most companies. Otherwise all the best.

2 Likes

Thanks, due diligence taken. I had stated here that I am employed ni study leave nachukua, tena I am relocating to Alberta kwenye niko na wasee kadhaa huko, niko na plan B and C.

I think you have a solid plan. 4 years off work in Africa, you go out there and try it out. Go back home if you don’t like it. You seem to have 2 children with 2 diff women if I am reading you right so no need for more, hapo ukae ritho tuu sana as Kenyan women will be eyeing you and the Tujungus too, wooi condoms at all times. I don’t know about Canada but declare the kids on your papers from day dot. You never know if they will ever need them in future. It is a wonderful Coundray. One of the few remaining willing to accord new immigrants some dignity.

Missing Kenya is a must but it fades with time. Anyway not one to advice on this bit as nilitoka huko mapema saaaaaaaaaaana.

1 Like

So huna PERMANENT residence ya huko?