Relocating to Nairobi

Na baridi nayo especially considering he is coming from Mombasa?

Mwanaume ni kujikaza

Hiyo baridi ya huko si joke!
Kikuyu na Kabete (both) huwa kali sana!

:D:D

Fika Limuru utapata baridi yenyewe

60k imetosa kuishi kule unataka hii nairobi

Thanks for all the suggestions amedecide kuhamia south b.

Kwani unataka kuwa heater yake

Na Mungiki right/left