RigatHi gachagua ARRESTED

Kila mtu hapa anajua Gachagua is corrupt na pia ni mwizi. Mbona watu wengine hawasumbuliwi. How can you make 12Bn without starting any serious business. Alikua anakulia kwa matender. Once you stop sucking UDA dick utaona this is a good thing.

@sani ni biashara gani hizo zinaletea mtu 12b? 12b can create three manufacturing factories worth ksh. 100m each in all the 47 counties. Hiyo sio shilingi mbili bana

mwenye alipea yeye izo tender anakuwa protected kwa nini? Mbona hajashikwa pia?

Si Wakenya walisema wanataka kuona BIG FISH washikwe sio some clerks and accountants.

Ok he made his billions organizing discos. Just like his boss started with one chicken.

They thought they were being clever hidding dam billions huko nyeri kwa kachagua.

Sawa. Fungeni pia huyo mwizi wa sugoi. Otherwise atawafunga nyinyi.

The Kenya police as it is now is a criminal organisation.

Na vile watu wanauza ng’ombe na mashamba watoto waingie huko. All parents of goodwill should discourage their kids from joining.

Sani Abacha stop repeating the same questions everytime your pot god is mentioned. I have answered these questions since 2013 in this forum, ukicheki utaona.

60 million Kenyans. 1.56t in savings. That’s ksh 30 a person.