Rihanna hazeeki

Ohh no…
:D:D:D:D:D
Keep the confessions coming.

5 Likes

hii tuliona yesu akimoon walk up juu ya maji

1 Like

EDITED

2 Likes

I beg to differ.
[ATTACH=full]83150[/ATTACH]

He he he…

1 Like

hii tulionaga wakati Adam alikuanga bado bachelor akingoja Eve aumbwe

1 Like

Mimi nlionanga wakati tulikua tunakaa kwa zile gari za kuangaliana

2 Likes

Hii niliona tym kbc tv ilikuwa inafunguliwa saa kumi kwa wimbo wataifa

2 Likes

Hii tuliona @uwesmake akikatia @Jirani

1 Like

Uuuwiii!
Saitan.

1 Like

Hii tuliona wakati @kush yule mnono alikuwa @Kush yule mkonde

1 Like

Hii tuliona Waiganjo akiwa Commissioner of police.

1 Like

Hii Kibaki alikuwa anaangalia wakati trouser ilianguka

wajamaa, ni nini hiyo mliona when Genghis Khan invaded Russia? sioni kitu yoyote

1 Like

Hii tuliona kabla Bill cosby aweke drinks za madame michele

2 Likes

@Theuri wa kigogoine umejichapa sweep :D:D

Hii ni nini saa zote mnasema mliona. Mimi ninaswali, ushawahi kuchoka kuona uchi wako unapovua nguo kwenye bafu? Kama uliona zidi kuona tena uhakikishe.

1 Like

Hii tuliona mejja akiuza miraa huko majengo

Hii tuliona kama “nakupenda malaika” by Mariam Makeba wa the only Valentine song to play for your baibe.

mUme ona nini ?