Riwaya:Dunia Haina Usawa

Salama jacka nimefurahi kukuona mana kila siku tulikuwa tunakuwaza na @carbamazepine

Niko hapa hunishindi mm jamani
Halafu jana tumosa ananipa shikamoo ananiambia moneytalk kasema nikupe sasa shikamoo yako nilirudisha na tusi tu la maana kama hajakwambia nakupa taarifa

Imeendelea ilipoishia.
Naona mambo yanazidi kuwa motooo
Natamani boti aliyopanda bokasa ipinduke basi tu

Yaan ila mm nawaonea huruma watakaoenda ikulu

Hata mimi naomba tu godwin asijesogea pale.

Mungu atasaidia jamani

Mkuu nielekeze nawezaje kuingia kwa ID yangu ya JF, manake huku imebidi nijisajiri kwa Id mpya

Mama upo, naona ushakuwa village Elder, uko vizuri

Shunie umepataje cheo Mara hii cha villager elder .Hebu nipe siri mkuu.Hata Mimi nimefurahi kukukutana huku ukimbizini!

Hahaha nipo mm nakuona villager

Pale pale mwanzo ulitakiwa uandike I’d yako ya jf nenda setting uangalie kama unaweza edit

Hahahahah mm hata sijui jamani najikuta tu napanda

Yaani imebidi niingie kwa ID mpya, manake kufika huku kijijini haikuwa rahisi. Its ram wa JF, wale tcra wametuweza

Poa, nitafanya hivyo

Yaani cheo changu kipo private sana Villager bora hata Mwanamsengi wanamuita New Villager:D:D:D

Kutoka jf expert mpaka villager hii kali

Miss you my wangu…

:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p

Kweli umemiss sanaa…

Hahahhahahahhahah

hahahaaa hajaniambia,njoo nikuwao