Robbery without violence

Wacha kuleta ujinga kwa biashara ya MTU. Ukiwa admitted on 11/2/2019 na utoke 13/2/2019 unataka ulipe pesa ngapi? Kwa nini hakuenda kwa hospital ya serikali kwenye kola kitu ni bure? Hii ufala ya kupigia wajinga wenzenu kura halafu mnaenda kulia kwa biashara za wenyewe after shit hits the fan mtaacha. Juzi kulikuwa na clamour eti private hospitals zitibu watu wa emergency bure. Ghai!!! Halafu Jicho Pevu ati amepeleka mswada parliament mgonjwa akikufa hakuna kulipa bill. Are we powered by cowdung ama dog poo?

Hiyo Ni ya shamba pale kangudo …

Kwani huoni, ?:meffi:wewe

Insurance companies have started blacklisting nairobi women Hosp

Io 250k or 300k ata nikiangukia kwa multi bet siwez peleka maternity kupeana ivo tu. Hio ni nyumba ya gorofa ushago

siku hizi yes.

Kwani hio gorofa unajenga na matope

Finally

looks very fake

Raiya ndio inateta ama ni mwenye kuzaa?

hehe, niko na ka hekaya ntakuchapia pale kwenye kisanduku