Rudini Tanzania

@xoxogossipgirl umesikia ujumbe wako? Wahi mapema sana

Hii ndio Bongo

Kenge Wewe, kaa Kimya? Hujui Ulisemalo!

Mngebakiziwa forum yenu nyie walamba makalio ya mfalme juha, kuliko kukimbilia ughaibuni

Time will tell…

Hata wao wanashabikia basi tu hawana namna…

Cc: @Mahondaw

Mimi kinachoniuma kulikosa jukwaa langu pendwa la kuwapaka wakenya,maana huku naanzaje ss kuwapaka shombo wale walionistiri,dah!jiwe Mungu anakuona ujue

angalia mechi yoyote ya kombe LA dunia inaweza ikakusaidia
Nalog off

Kwani hii JF ni ya watu maalumu ama ni ya siasa za upinzani???

Wakenya walivyo watu wa ajabu tukiwadissi wanàkabizi email address kwa TCRA

tz yaleo mambo ni vuruvuru

cc @Smart911