safe cars in kenyan roads.

Kama una pesa chukua kitu kama hii hapa XC90, then uongeze zile bullbars za chuma:D

https://media.ed.edmunds-media.com/volvo/xc90/2016/oem/2016_volvo_xc90_4dr-suv_t6-first-edition_fq_oem_2_1280.jpg

1 Like

so unasema nisikunie katikati ya barabara to assert dominance?

1 Like

What kills people is not crushing but the G force and transfer of the impact to occupants. cars with very tough chassis at the bonnet area kill people. Ukiweka bullbar ishikilie chassis proper utakula chuma ikigonga kitu.

4 Likes

I wasn’t serious about the bull-bar… How do you mess with such great engineering na hizo vitu za RobsMagic

4 Likes

i agree with you

gani ni mabati hapa ?

2 Likes

What percentage makes ‘head on collision’ accidents?

If you are a Toyota guy then get an Avensis it has the highest euro NCAP safety rating among Toyotas

Die with isuzu…:smiley:

:D:D:D
Bure kabisa.

1 Like

Very nice, ubaya gear box waliunda na paper mache. Bure saidi.

Bull bars ni kazi ya wasapere. Tunawajua hao :slight_smile:
Safety ya gari ni dereva. Quick exercise. If you leave your car kwa parking, itacause hagzdend ngapi? Zero.
The moment you enter and drive, you’ve a 50/50 chance of having/causing an accident.
But mayeks is right. Just press the anti accident button na uko sawa.

1 Like

Safety begins with S.
Enyewe, all cars safety is dependent on whose behind the wheel.
Uzuri ya benz tu ni watu wa probox watachezea mbali wakupee ample space juu wanajua bei ya makanika hotofautiana

But sio lasma utumie watu ya probox kama litmus paper. :D:D:D ama namna gani

1 Like

Hio ilikua by the way tu… Nikiwa nayo kwanza mi uji convince watu wataelewa nikileta mang’aa kwa barabara

Accidents could happen anywhere and anytime the only thing to avoid it is to check cars regularly and should be careful on driving

Footsubishi iko na auto pilot mode. Hata ukiwa mlevi aje unajipata kwa nyumba next day ukiwa hukumbuki how you got there.

1 Like