saitan is real

Conclusion: your parents are @Jirani and @uwesmake

3 Likes

leo watoto wa shule ni wengi sana…hekaya za high skul right left

Elder hao ni kina nani ?

ndio tunarudi shule , fees ilichelewa

Hii ni dry fry.

2 Likes

villager hii hekaya iko juu

1 Like

mkamba usiniite ovyoovyo

Ata kama wewe ni mono…hapa umenimaliza…fasihi ya utanzu murwa kabisa ya lugha ya ugenini…

2 Likes

Huyu sio mono

1 Like

I suspect hako kahekaya kana ukweli. A good one.

1 Like

@Mzee mzima niaje

1 Like

Hehehe hii handle ya @LIEN inakuaga ya Uwes. Uwes io kitu iko imevaa bikini lazima tuexchange notes, nipatie coordinates nicheze lotto

1 Like

Ninge comment lakini kijana wangu pia ako form two na holidays za December niliona anataka kufuata tabia zangu za kitambo.

Zipi hizo?

Nilianza family mapema Dr niko below 35 years kijana ako form two, uzuri mimi nimeweka discipline sikubali kuitwa babu mapema.

@admin,si huyu @LIEN apewe title ya “village student” tu?? hekaya on point

2 Likes