Kuna mtu ameitwa high priest wa corruption na BABA. Lakini Baba hakusema hiyo kanisa ya corruption inakuwanga wapi twende tuhudhurie misa.
Village robot = @vuja de
1 Like
@vuja de kuja uichukue. Na kama ni fita unataka useme,siiregeshi
siwezi pigana na mono
fujaaaa…new villager ni name tu. Hata Klist uliniogopa. I understand…lakini ambia hiyo jinga inaitwa @ekamsweu iache upus. Utaskia sasa ikidai monologue ndo yaendelea hapa @vuja de
sasa ulikuwa unaitwa nani huko Klost?
Hahahahahaha,kila kijiji na wazimu wake.
hiki kijiji kina wendawazimu si wachache upus na ushenzi ndo mmesheeni
:D:D:D:D:D
Juzi WSR ameambia wasee wa kupanda mbegu eti waende wakashirikiane na Kenya Seed.