Salaam Aleikum, Nani amelala kwa Jam

halafu wakenya wajinga wenye hujiona wajanja kuliko wengine wataisha? Hata hii njia yetu ya embu huwa kuna hizo jam kati ya kambiti na kakuzi wakati wa festive season na hakunaa weighbridge…

But the main reason for the traffic ni hiyo weighbridge

prombox umewacha kwa nini?

na huko makuyu?

Blue boys(subaru)overlapping

na nimejifanya mjanja ndio natoka nairobi saa hii.any updates?

KENHA ADVISES motorists travelling between Nakuru and Nairobi to use alternative routes of Flyover and Njabini-Olkalou after gridlock in Gilgil.

asante village owner hehe…

ni ujanja, and it starts from the highest offices, watu kujona ni wajanja sana - lakini people who overlap are just another breed, a very inept way of thinking - a situation that would have sorted itself out in like 10 minutes ends up becoming a traffic disaster.

it is actually a mental disability.

one night last year we deflated tires of overlapping vehicles, na sio moja, tulikua tatoa kwa tires mbili za mbele coz guys have only one spare

:smiley: