Satan is real

Csi noma!!

2 Likes

nimejiuliza kwani niko na macho chongo kumbe wengine wameona pia

4 Likes

hehe mayekeke ulikua unatafuta nini hadi ukaona hiyo mguu

[ATTACH=full]120766[/ATTACH] [ATTACH=full]120766[/ATTACH]

13 Likes

Alafu huyu ndio pamba?

[ATTACH=full]120768[/ATTACH]

5 Likes

wah!ujawahi massagiwa?at least mgongo ingekua imepata mafuta

Mwi wana muingi ma. sasa hapa ulizoom saa ngapi, hehehe

Juu ya hio story ya massage na john mtembezi tunamesa kwa macho, tusafishe mecho na mathighs ama matuzo

loading…

Unaweka picha kubwa sana unatumalizai bundles, meffi

1 Like

@Some Say ,fungua simu

1 Like

:D:D:D Itabidi uite village mechanic azisoak Kwa mix ya oil na grease.

3 Likes

@pamba HBD to the young man na awe na afya tele

eneweis watu wako na issue na miguu ni wivu tu vile uko na maisha hawana
kuanalyze miguu ya mwanaume ni signs za kukaukiwa kwani wanataka kukukamua?

1 Like

Niaje KayF. Kwani miguu hukamuliwa?

1 Like

Mizee
si naona wakenyatoka wanataka afisaa awe na miguu kama za mfemalaz
wasafishe mecho na baadaye kutatiza askofu

3 Likes

Just pulling your leg :smiley: Sir. Umepotea sana.

1 Like

:smiley: usije ukanivunja mguu
mm iko nimekuwa hapa na pale soon nacircle hivo pande za Mathira ntatafuta wewe ukunywe mbili tatu bora uniambie mbona kijana wenu alijenga rairoway mupya na kuna yenye ilikuwa before
Hio kununua tena shamba si angengoa ajenge upya:rolleyes:

1 Like

Askari wa Kwnjo maliza dawa

1 Like

hio mguu afande paka kavaseline jo

Isn’t this what they call “webbed / flat foot” in the armed forces recruitment exercises, how did the said “combined harvester” pass the eye of the recruiting officers??:eek::)??

1 Like