secrets of nyeri and kikuyu land in general....fyi

you baboon, i have no time to list and boast of community achievements, i have got my own life to live

1 Like

ati wui? …yai hau meni niwatuhenia…

1 Like

Hiyo “wuui” ilikuwa history ya class gani?

1 Like

Haha wazungu huja kulipa top dollar kuniona na kupiga picha wakaonyeshe wenzao proudly… so let me keep scratch 'n sniffing my balls while planning for new branches for my troop, wewe mwenye hauna kundule… :smiley:

Anywho, @Atwoli this whole battering thing is a symptom of underlying socioeconomic distress (anon, 1999). Na vile our society is largely based on economics, the rest, we say, is sensationalized history. Kataa, pia wewe siku hizi huwezi nguruma kwako like your gramps used to in his long-gone heyday, so once again, kundule… but rest easy, kwingine mtu huitiwa nduthi-assassins, kwingine bibi anaku-hack pamoja na watoto na kwingine wanahama na kila kitu kwa nyumba, so the kaliwad and the clobbered can rest easy with that info. On that note… double-checks if pot of boiling water was actually for ugali or more nefarious purposes

Yaani hamkuhawi story ya wuuiii???kwani mlizaliwa kwa akina uncle nyani???

inakaa hiyo ni cucu wenu tu alijua…

Hapo umenipa update poa. Nilikuwa nashangaa mbona kila time niki dry-fry ma “yellow yellow” wanadai “wuii wuii”. Kumbe wanawika kume haribika.

Buda boss, this is even more scandalous, the battle cry for your men going to war was “wuuuuui”?

1 Like

Hahahahahaha

aaaaaaaah hii ndio “chinda” ya kudeal na watoi wa “cerelack”…meaning {cerebral lack}…

Please have mercy on my ribs!!!

Haha Mulosi bwaana, acha ku-prove eti common sense is not that common and haikuji na uzee pia. Wamama ndio huachwa nyumbani wanaume wakienda patrol, na umewahi sikia nduru ya ma-soprano venye hu-travel mbali? Compare na hiyo alto yako uniambie ni gani warriors wanaeza skia wakiwa maraundi o_O

:D:D:D:D:D:D:D:D

in that case wuuuuiii (haha) is a distress call. a war cry is a clarion call a rallying call for the troops to Chaaarge! (gerrit?) Mohammed used Allhau Akbar as a war cry

My bad… hii kizungu ya adult education inakaa ni ya kuomba maji tu hehehe

osungu na mpira! osungu na mpiraa! anachenga moja mbili

1 Like

[ATTACH=full]8401[/ATTACH]

1 Like

Hehehe @Ice_Cube @Koolibah as long as my argument’s main point haikuwapita.