senior villager

Hapa ilikuwa gentleman’s agreement, leta bike nifloss kidogo. Hii case ni ngumu lakini kuna mtu atabaki akilia.

Kungu alipewa kibikibi na mbugua naye akapea mbugua yake, hivyo yule ambaye anastahili kurudishio kibikibi ni kungu diye naye arudishie mbugua yake, sio bibi. Mnifungie juu ya shida ya matamuchi. @ sunnymango, pia eda pale sky motel ujionee wauza nunu

1 Like

si angogeshe hio piki piki kwa mti watoshane?

2 Likes

pia hapo Wang’uru kuna mahali panaitwa maisa kamili wanaitiaga mtu nunu life life saa tatu asubuhi…

Na nilikuwa nashangaa Kungu Pilot alipotelea wapi

tutaeka advert kwa gazeti kuwa wasee wa klost tuko ktalk nowadays ndo lost sheep watupate