Sgr longest train

Do you know the length of 1 wagon? from Port Reitz hadi nairobi ni station gani inaeza toshea train ya 110 wagons? Its IMPOSSIBLE to have a 110 wagon operate in Kenya.

Container sio mzito inaeza vuruta mingi, vitu kaa coal ama grain ndio haziwezi.

Capacity ya wagon moja ni 2 TEU’s. Capacity ya lorry ni 2 TEU’s. Mtu anacopy paste vitu kutoka kwa Dennis Itumbi bila kufikiria. 710 TEU’s being carried by 7 trains means each train carried 100 TEU’s. Means each train had 50-51 wagons.

A man must earn his own bread but not through lies.

Huwa naona train zikitoa moshi pamoja na moto,hizo vitu utumia coal ama ni diesel?

I see am not the only sick one kwa hii kijiji:D:D:D

:D:D

Umenikumbusha ile train ya breaking bad. Wakiiba ile chemical. Waliisimamisha na conductor ako almost a mile away from scene of crime on the same train. Good show that one.

Hebu count hizi. Pale South Carolina. (Headed by 3 locomotives. Container zikirudishwa China.)

https://www.youtube.com/watch?v=WqmEtnPu-B4

Imenikumbusha ile game ya nokia “snake”