Shait, mumeona hii... Gory

I have read the story, aagh sikuwah ona hii kitu. Hivi Kenya ndio kuna wakora wa kiasi hiki?

Why not just kill him instead of torturing him? Killing him is justifiable (temporary insanity) but torture is some sick and barbaric thing.
Whoever did this should be taken to a mental asylum. He is not fit to be around normal people.
Bibi za watu ni laana tupu.

i didn’t think amyone on this forum knew that aspect of Fai’s life.

he he…hujasahau hiyo maneno?

Reminds me of the movie “HellRaiser”

Sheit man fuck…this is really bad

Nyinyi Team “no click bila clit” mnasumbua. Article inasema alikuwa kwa bar on Monday 11am akaanza kuzozana na a mad man. Huyo chizi akatoa nyundo akamgonga kichwa. Wakati ali-collapse, akasundiliwa misumari. Moral of the story: observe Mututho hours.

Niaje…wakanyaks nao umerudisha kibenye uku
Hao pesa yao haitakangi mchezo!!! Kama pesa hakuna kazi inasimama i dont take unnecessary risks.

kwa nini OP aliweka picha bila article?

Rumlika…

[ATTACH=full]176176[/ATTACH]

Wrong turn 5

kichwa imeanza kuniuma after kuona hizo picha

Hiyo misumari haiwezi ingia kichwa ya @M2Random

Umefunzwa adabu ata kabla udhubutu

kama amekamua bibi ya wenyewe its a nice punishment

:D:D:DBANGI ISIWE HURU

Kwani mad men in Meru hutembea Nyundo na misumari mkononi/mfukoni, hadi kwa pub? :oops: Lakini baite akikusho ‘avai ngagutema na kifanga…’ Toka tu Mbio…

Pengine pub ilikuwa inafanyiwa renoveshen na silaha zilikuwa tu hapo :D:D

Kwani alitomboa siri