Shugri Bagri deng deng played in an NBA game but Kenyan Radio stations still wont Play Kenyan Music

Wakenya mkule shonde na hizi shugri beng beng zenu

https://www.youtube.com/watch?v=KYFQRuqQ7EM

mbona nisisikie?

exactly!!! same content tu. People love those bongo and naija because that is what is pushed to them, if kenyan music was pushed to them the story would be different

https://www.youtube.com/watch?v=WEWBLNZsX2o

NITAKUSPARTA :D:D

ITA SPARTA :D:D:D

juu kuna YouTube where you dictate your own playlist. Radio ni biz ya mtu, control tool ya gava na marketing platform ya any record label with the money to by air time

Song inaitwa ‘Position’,
Nice song

Hiyo wimbo iko on point though sijui wnasemanga nini
,
Watu wanasema sijui wimbo nini? Kama iys about thw words, wangapi mlielewa kina despacito ilikua inamaanisha nini na hizo nyimbo zingine za naijo broken kisungu ??? Mscheeeeew

Mwaf ako na point hapa. Though his own show Da Joint was also 95% foreign music

[ATTACH=full]219294[/ATTACH][ATTACH=full]219295[/ATTACH][ATTACH=full]219296[/ATTACH][ATTACH=full]219297[/ATTACH]

Khali is self-made. He fought his way up just like Octo alitumia Abass

Uyu mtu anaongea sana, kama sio youtube Octo hangekuwa na over 2 million viewers na Khali bado angekuwa nyuma sana

Hii ngoma iko na 11 million views…youtube

https://www.youtube.com/watch?v=stRxOFYcVTQ

Hii nayo 6 million…na sahio mimi na wengi hatumtambui

https://www.youtube.com/watch?v=qu38lWkqjkM

Hiyo Chaguo la Moyo was the best Kenyan song in 2018

Shida na hiyo song ni gani? Very Good song

Armin Van Buuren had this song last year and it was a massive hit with 100million streams on spotify and lots of DJ’s used to play it on their sets. Song iko na 200 million view on Youtube so between it na hii umeweka gani kali?

https://www.youtube.com/watch?v=mfJhMfOPWdE

is that so outside Nairobi?

Na davido?

Everywhere, ni 2019 bana

Everywhere in kenya people are stream content online? Arebyou just making up your own stats?

Good example

The irony is he plays meffi songs za wakina cadi b.