Sijaona sababu za kumchukia rais wangu magufuli

ni kolokocho tu wa siku zote

!
!
Aisee… Pamoja Na Yote Kuitwa Villeger Duh

!
!
Happy To Read From Jamiiforums People,

Wewe hata nikikuita bwege nitakuwa niko sahihi kabisa

Yaani bwana yako kakufukuza kwako ukahamia kwa jirani lakini bado unamtetea kuwa ni bwana mwenye kuigwa kwa yale matendo yake?!

Uko ukimbizi kwa sababu ya huyo jiwe halafu unamtetea! Kweli ujinga wa Watanzania walio wengi ndio nguzo ya kuwepo kwa hiki chama cha ccm ambacho kimekosa uhalali wa kuitwa chama cha siasa kwa sababu matendo yake kwa awamu hii hakina tofauti na magenge haramu ya kihalifu duniani

kweli nyani aoni kundule uhalali wa kuoji ya watanzania na wewe mkenya umeutoa wapi,ondoeni ukabila kwanza

makorokocho cjawai kumwacha mtu salama!

Hahahahaha

Unajiaminishije kuwa Mimi ni Mkenya?

Wewe na yule msiba mlamba makalio ya jiwe hamtofautiani sana ujinga wenu

Wacha kufananisha maisha ya watanzania tulio wengi na hali ya sasa ya nchi. Baba akihamisha familia kweye nyumba ambayo haijakamilika bila kuwaeleza wanafamilia wengine mpango uko vipi huyo baba hafai. Baba gani anachukua pesa ya chakula kujengea, huku akiwatumia hao hao wanafamilia kwenye ujenzi wakiwa na njaa?Baba gani anachagua wanafamilia wachache anaishi nao Lodge wakila bata na kugeuka watesi wa wanzao???

Hapo vp

Sasa kwa nn hatakangi kukosolewa

Wewe bila shaka utakuwa ndio jingalao.

Huyu ni barbarosa.

Anaeza kuwa jingalao

Lazima mchekwe, kwenyu hata ujumbe kama huu ni haramu.

At least umekiri kuwa Magufuli anachukiwa. Sasa chukua hatua moja nyingine na ujiulize swali hili: kuna mtu anaechukiwa na watu wengi bila sababu?
Ukipata jibu la swali hilo utakuwa umepata chanzo na wewe ndie utakaelazimika kuacha ushabiki wa kijinga.

Hawa watu wa aina hii hawana faida hata kwa nafsi zao wenyewe

Wewe unafanya kazi gani kwani??..

Hayo ni maneno ya kijinga!!!