Sijui niweke title gani.

nani akubali kutoka Nairobi? hata mimi kwanza nawezakatalia nje ya Galitos araa

6 Likes

LOL didn’t one of those 2 stay up posting late into the night about how long he had to wait for the other nicca to show up to the beat-down? Some allocated a champion belt on that fight based on the fact that one of them showed up atleast

1 Like

Tutaenda kote utakako . Hata Honduras ukitaka…banana republic;)

@Ice_Cube allocate a rematch hii confusion iishe. Na usisahau mtu wa mbisha.

2 Likes

haha that belt was not recognized, it was made by Patel huko kirinyaga Road, itatumiwa kushikilia maji when the real fight will kick off lazima watu walimane, its a war between an “infidel” and a “bible thumping nigga”. it cant get better than this

1 Like

:D:D:D:D That brigade will have to live with disapointment as usual.

[ATTACH=full]8280[/ATTACH]

hiyo vita bado iko,lakinh @uncle nyam haonekani hata huku,mkiona yeye mwambieni next sunday tukutane langata cemetry because only one of us will come out of there alive.MY MOTTO IS NO RETREAT NO SURRENDER

1 Like

banana yay! hata cucumber ziko…

he he he nitalima huyo shetani 13 ,nitatoa hiyo mashetani na maleft na marights jabs

Hii mushene yoooooooooooooooooooote ni ya nini?

Unicorn mimi nataka niniiiiiiii. Eeeeehhh…hiyo.

Ndio hii niniiii bwana coffin dodger.[ATTACH=full]8283[/ATTACH]

4 Likes

aouch…nimesikia uchungu on his behalf…howdy swits…

1 Like

Hahahaha, it’s never that serious. I wouldn’t be surprised to find he’s in his late 30s/early 40s…I’m very well twinkle toes. Can’t complain. Hope uko poa pia.

Haha ambia Karo Marx aweke moja ya Valtorta kwanza niki warm up.

@Ice_Cube reschedule hio duel on a neutral venue huyu aliogopa kukuja national park nimlishe kwa mafisi. @Wakanyama i hope you are training hard nugu

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Bado nataka niniiiii…nitatoa dentures nikule kama ugali

1 Like

you are right on that…very young and handsome i must say…am well sugar tits…kijibaridi cha msa…

hahahahha…kwani wala kama nyama?..ulimi daddy…

eish hizi party mnaanzanga saa ngapi?
ati banana republic, kama hio sii coincidence basi ni genius.

haya acha nianze siku…