Sijuti wa KenyaTalk aandikwa na Mwananchi online

Ndani ya mwaka JF ya huku itakua kubwa sana

Nimefurahi kukuonà madam

:v:

Jiwe anatamani aizime Kenye Talk.

Ahsante sana

Nawe jamaa umekuja huku

Naaam boss

:cool::cool::cool: Naam mkuu ugenini raha

Raha sana

Nimekuja kwa kasi ya Bombadia za Magu.