siku nilijua sijui

kama huyo mama wa counter anaitwa carol u know you hiyo 500/- utakuja kunipea

huyu Tom Banner ni brother ya tom bayeye?

ndizi (mgomba)ya kuletwa na maji uenda na maji pia-mzito vuusyaungu…ulicon hao mabeste wako hio 2k na ikaenda na mtu wa nduthi na carol the barmaid

:D:D:D:D unajua caro aje

heka iko safi sana :smiley: waaah uyo mtu wa nduthi ni noma a real G

Tupia sisi hekaya, naitisha ya pili nikipitia hekaya