Single mothers with motivation talks (safisha macho)

Ni mtoi wa ytitu ?

Errr…ati mungu ananifunza neneneneneeee…

Watu wengine walipoteza compass usiku wa manane, msituni. Mungu awasaidie tu.

Life in the fast lane is for the fast. Slow car kwa fast lane itagongwa tu mbaya.

Na watu wengi hawashtukangi most singomatha ni slow car kwa fast lane.

Maisha ingine, quick wits sio ati luxury.

Tumeona madem fala wako na looks wanaleweshwa, bebi bebi, cutie cutie…na wanapelekwa somewhere wanafakiwa na mlolongo wa some wily crooks, na wanarudishwa club, wanaongezewa bia, wakipassout genge linapepea na wanabeba mpaka simu.

Anaamshwa na mabouncer hajui ako wapi.

Mtu ako slow akae slow lane.

[ATTACH=full]251928[/ATTACH]