SIRI YA MNANGAGWA KUTEMBELEA TANZANIA.

If you think your counter part is better than you , seek for the advice, if valuable work on it , you’ll be safe

He had visited lots of countries within the africa, Why do u Tanzanians scare about his state visiting.?

Unabashiri au una uhakika?

Sio Yajayo Yanafurahisha tena

Hapana mkuu haya yanasikitisha

Kama mimi mlinzi wa rais cha kwanza niengeangalia kwanza kama rais yupo salama na kisha kumtoa kwenye eneo la tukio…Ukisikia Paaa ujue imekukosa.

walinzi unaozunvumzia ni wale waliokua wameshika silaha au wale waliokuwa karibu na raisi? tuanzie hapo kwaza huwenda tunamaanisha wa wili tofauti

Huyo Emmerson Mnangagwa mwenyewe miaka ya 80 aliongoza mauaji ya kikabila akiwa kama kiongozi wa ZANU-PF na serikali ya Mugabe,so he knows how to kill for a win.