SLEEPER BUSES, (how to beat SGR)

alar ,pia wewe ni midget ? unatoshea kwa kitanda ya 3 by 2 na kunguru midget yako?:D:D:D:D:D

izo bus ni expensive na market hakuna. Huezi patia customer premium service na amezoea chania ya 800. Hakuna barabara mzuri pia.

Utajua hujui wakenya wakitoa viatu