Sling berry aka Black berry

Huyu aliwaka akakuwa Kama kuni.alikufa juu simu tu. Kweli hawa wezi walirogwa na mrogi akanyuria

Yaani this year alone Kayole na surrounding areas wezi wamenyuria ni more than 100. Kila wiki lazima usikie kadhaa wamekang’wa.

Maze uliona wale maboyz wanne waliangushwa leo huko ruai.imagine walisanya 3m huko inda wakawelea msee nyundo ya kichwa lakini nao walijua hawajui

Huyo walipiga ni wachie ama teller? I hope he survived.

Mwenye cheda

Huyo alipeanwa na teller ama close business associate.

:(:(:(:(:mad:

[MEDIA=facebook]id=1709921389310269;type=video[/MEDIA]

Yaani hio ni kitemeo itaenda tu hivo na @Wakanyama bado dryspell imem.own

Beautiful…lakini apewe mbegu

ametulia kwa jacuzzi akingojea

awekwe ndengu